Kuvani

Sauti ya Ryan.
Maneno yako.

Andika ujumbe wa mahaba, shairi au salamu — Ryan atakusomea kwa sauti ya kiume tulivu ya mahaba.

“Kila asubuhi, jina lako ndilo wimbo wangu wa kwanza.”

Jinsi inavyofanya kazi

  1. Jisajili kwa namba ya simu au email.
  2. Andika maneno yako, kisha chagua Tone na Speed.
  3. Lipia kwa M-Pesa au Tigo Pesa, kisha pakua .mp3 yako.

Alika marafiki, pata 15%

Kila rafiki uliyemleta akinunua sauti au akihariri, kamisheni ya 15% inaingia kwenye wallet yako — kila mara.